RAIS DK.MWINYI AMUAPISHA NAIBU MKUU WA KMKM ZANZIBAR



Na Mwandishi wetu, ZANZIBAR 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Kepteni Hussein Mohamed Seif kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo(KMKM) Zanzibar  katika ukumbi wa Ikulu Mnazi Mmoja tarehe:23 Mei 2024.





Powered by Blogger.