RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI YA MAPENDEKEZO YA TUME YA JINAI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue. Hafla ya upokeaji wa Taarifa hiyo imefanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2024