BREAKING: NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE AJIUZULU

Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge  leo Jumapili tarehe 21 Julai, 2024.

Sababu za kujiuzulu kwa mujibu wa barua aliyomwandikia spika, Mbarouk alisema ni kutokana na changamoto za kijamii zinazomkabili.


Chanzo: Haki Ngowi-X

Powered by Blogger.