IDARA YA USALAMA WA TAIFA YAPATA BOSI MPYA

 


IKULU,Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Bw. Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2024.

Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) inaundwa na sheria namba 15, (TISS Act, 1996) iliyosainiwa na Hayati Rais Benjamin William Mkapa tarehe 20/01/1997. 

Wafuatao ni Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa tangu Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ipate Uhuru;

1. Emilio Mzena (1961‐ 1975)

2. Dr. Lawrence Gama, PhD (1975 - 1978)

3. Dr. Hassy Kitine, PhD (1978 - 1980) 

4. Dr. Agustine Mahiga, PhD ( 1980 - 1983)

5. Luteni Jenerali Imrani Kombe (1983 - 1995)

6. Kanali Apson Mwang'onda (1995 - 2005)

7. Rashid Othman (2005 - 2016)

8. Mchungaji Dr.Modestus Kipilimba, PhD (2016 - 2019)

9. CP Diwani Athumani Msuya (2019 - 2023)

10. Said Hussein Massoro ( Januari - Agosti 2023)

11. Balozi Ali Idi Siwa, kuanzia 28/08/2023 hadi Julai 2024 ilipotangwa kuwa kastaafu.

12. Suleiman Abubakar Maombi , Julai 11,2024...........

Powered by Blogger.