MDAHALO WAGOMBEA URAIS TLS LEO UDSM




STAR TV KUPITIA KIPINDI CHA MEDANI ZA SIASA, leo ikiwa ni MEDANI KUU, Inakuletea………..! 


THE FINAL TLS PRESIDENTIAL DEBATE 2024. 

LIVE kutoka ukumbi wa NEW LIBRARY ya Chuo Kikuu cha Dsm, Jumamosi hii 27/07/2024, kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa tano na nusu usiku. 

Wanasheria, Wanasiasa, Wanaharakati, na Watanzania wote mnakaribishwa kutazama mdahalo huu moja kwa moja.

Wale wanaotaka kuhudhuria, thibitisha ushiriki wako mapema kwa Whatsap namba 0766662533, nasi tutakutumia pass code yako, hiyo namba inapatikana Whatsap pekee, KARIBUNI SANA. 

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA

Powered by Blogger.