YANGA YAPOKEA KICHAPO SOUTH, BALEKE BALAA

Timu ya Yanga ya Dar es Salaam imepokea kichapo cha goli 2-1 kutoka kwa timu inayocheza ligi kuu ya Ujerumani ( Bundes Kufa) ya Augsburg FC.
Gumzo katika mchezo huo alikuwa ni mchezaji mpya wa Yanga Jean Baleke aliyefunga bao lakufutia machozi kwa kichwa katika kipindi cha pili.

Klabu ya Yanga wamealikwa kushiriki michuano ya Mpumalanga Premier's International Cup nchini Afrika Kusini 🇿🇦

Timu zitakazoshiriki:
🇿🇦 TS Galaxy
🇩🇪 Augsburg
🇹🇿 Young Africans
🇸🇿 Mbabane Swallows
Powered by Blogger.