Aliyekuwa Askari wa JWTZ MT 140105 Clinton Damas maarufu kama Nyundo na wenzake watatu wamehukumiwa kifungo cha maisha jela pamoja na kutakiwa kumlipa mhanga shilingi milioni moja kwa kila mmoja wao baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka na kumlawiti binti wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.