BREAKING: MEYA AACHIWA KWA DHAMANA
Masharti ya dhamana, Mosi, Wadhamini wawili na kila mdhamini kusaini bondi ya dhamana ya Tsh. milioni saba (7). Pili, kila mdhamini anatakiwa kuwa na kitambulisho na barua kutoka Serikali ya Mtaa. Tatu, mshtakiwa anatakiwa kuijulisha Mahakama endapo atahitaji kusafiri kwenda nje ya nchi.