Klabu ya wananchi Yanga imemtambulisha staa mpya kwenye kikosi Chao Allan Okello aliyekuwa anaitumikia timu ya Vipers iliyopo Nchini Uganda.