MD TWANGE AKABIDHI MAGARI KWA MENEJA MKOA WA SIMIYU

 


Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO
Lazaro Twange amemkabidhi Meneja wa Mkoa wa Simiyu Mha. Twaha Kingangama magari matatu yatakayotumika ndani ya Mkoa huo katika kuboresha huduma kwa wateja na kuongeza ufanisi katika utendaji kazi ili kutatua changamoto za wateja kwa wakati. 

Alimkabidhi magari hayo wakati alipotembelea Mkoa wa Simiyu tarehe 21 Februari kwenye Ziara yake ya kikazi mkoani humo.






Powered by Blogger.