DEPU AIMARISHA YANGA KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU
Goli lililofungwa na mchezaji wa kimataifa wa Yanga Aurelio Depu mnamo dakika ya 79 ya mchezo imetosha kuwaimarisha Yanga kukaa ,
kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Tanzania bara na kumuacha mbali zaidi kwa pointi mpinzani wake ya jadi Simba sports Club.
kwa ushindi huo leo Yanga imefikisha pointi 35.
kuwafanya kuendelea kujiamini zaidi na kuchagiza mchezo ujao dhidi ya timu ngumu ya AZAM ndani ya dimba la Benjamin Mkapa.

