SIMBA IMEKULA KODI ZA WANANCHI
Timu ya soka ya jijini Dar es salaam imefanikiwa kuipiga timu ngumu ya TRA , Kwa jumla ya goli
3 -0.
Magoli ya simba kwenye mchezo wa leo yamewekwa kimiani mnamo dakika ya 12 ya mchezo kwa mkwaju wa penati kupitia,
mshambuliaji mahili Selemani Mwalimu,na dakika 67 lillilofungwa na Neo Maema na mnamo dakika ya 88 lililofungwa na Yusuph Kagoma.

