SIMBA YAIPIGA SINGIDA KWENYE MSHONO

 Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wamepata ushindi wa kwanza baada ya mechi tatu kwenye Ligi kuu bara kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika dimba la Airtel, Mtipa Singida.


Simba Sc imesogea mpaka alama tano nyuma ya vinara, Yanga Sc wakifikisha alama 27 baada ya mechi 12 wakiwa nafasi ya tatu huku Singida Black Stars ikisalia nafasi 10 pointi 19 baada ya mechi 13.


FT: Singida Black Stars 1-2 Simba Sc 

⚽ 38' Mossi

⚽ 07'Oura

⚽ 85' Mpanzu


Powered by Blogger.