KAULI ZETU WANASIASA ZIMETUPONZA TUME YA JAJI CHANDE ILIKUWA BORA ZAIDI- MCHOME*


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amedai kuwa kauli mbalimbali za Wanasiasa zimewaponza na ndiyo chanzo kikuu Cha machafuko ya Oktoba 29 amesema


"Tume hii ni Moja kati ya Tume bora Zaidi kuwahi kutokea pamoja na mapungufu mengine ambayo tumeyaona lakini ilikuwa bora sitataka sana kuichambua lakini itoshe kusema kwamba mapendekezo Serikali iyatekeleze


 Matukio ya Oktoba 29 yamesababishwa na kauli za Wanasiasa kama ambavyo tume imeeeleza "  Mchome

Powered by Blogger.