TRA NI MFUPA ULIOMSHINDA FISI SIMBA YASHINDWA KUUTAFUNA


 Timu ya soka ya TRA Sports Club leo imewabana mbavu timu ya Simba .

Timu ya TRA ikiwa uwanja wake wa nyumbani wa jijini Arusha  wakitandaza soka safi wametoka sare mbele wa mabingwa wazamani wa Tanzania Simba Sports Club.

Ambapo timu zote mbili zilikuwa zikishambuliana kwa zamu huku TRA wakiongozwa na mchezaji wao hatari Chobwedo.

Hata hivyo mpaka dakika tisini zinamalizika hakuna timu iliyoweza kuliona lango la mwenzake.

Powered by Blogger.