WANANCHI WAMJAZA MANOTI SURE BOY (BABU KAJU) WAKIJIKITA KILELENI

 


Mashabiki wa timu ya mpira wa miguu ya Young African ya jijini Dar es laam leo wamemchangia mchezaji Sure Boy, pesa kwenye mchezo wao dhidi ya Prison .

katika mchezo huo timu ya Yanga imefanikiwa kuwashushia kipigo kikali cha goli tatu kwa sifuri dhidi ya timu ngumu ya Prison.

Magoli ya Yanga katika mechi ya leo yamewekwa kimiani na Alan Okelo,Mudathir Yahya na latatu likiwekwa kimiani na Pacome.

Powered by Blogger.