KUELEKEA MECHI YA TAREHE TATU TUMECHOKOZA MZINGA WA NYUKI AHMED ALLY'.

 



“Hii ni mechi ngumu kwelikweli, mpinzani wetu hatakubali kupoteza mara mbili ndani ya wiki moja. Tangu dunia imeumbwa haijawahi kutokea tukacheza mechi mbili ndani ya wiki moja. Bahati nzuri tumeanza na ushindi kwenye mchezo wa kwanza, matokeo yale yatafanya waje wamepania, waje wakitaka kushinda mchezo huo.

Tumeshawapasua na wao wanataka kupata ushindi ili wapate amani. Hatupo tayari kuwa na furaha ya siku tatu pekee, tunataka furaha yetu idumu milele na milele, na furaha inadumu vipi ni kushinda mchezo wa Mei 3.”

“Mechi hii hamjawahi kuiona tangu mmezaliwa. Kwa ugumu wa mechi hii Mwanssimba unatoa wapi nguvu ya kufurahi na tunajambo gumu mbele yetu. Tuna muda mrefu hatujamfunga kwenye mechi ya Ligi Kuu na hilo ni jambo la Jumapili.”

“Msimu huu tumedhamiria kurejesha heshima yetu. Msimu hutakiata, tayakachokizosa tuakipata Tuchoanzata Zanzibar wao wamechukua Mapinduzi, sisi Muungano.

Tumehamia Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho, either tuchukue yote au tugawane na timu ya kuchukua makombe yote tunayo. Msimu huu ni kupata furaha kamili au tugawane.” Amesema Ahmed Ally 


Powered by Blogger.