BOKA MALI YA YANGA

 CHADRACK ISSAKA BOKA atajiunga rasmi na miamba ya soka la Tanzania, YOUNG AFRICANS akitokea St Eloi Lupopo ya Kongo, Boka anahudumu nafasi ya Beki wa kushoto na atachukua nafasi Joyce Lomalisa Mutambala ambaye anaondoka mwishoni mwa msimu huu akisaka timu Uarabuni.

Credit: Farhan Kihamu


Powered by Blogger.