Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mfanyabiashara Mohamed Dewji -Mo
ameripotiwa kutoa shinikizo la kujiuzulu nafasi zao kwa wajumbe wote wa Bodi ya Klabu hiyo aliowateua yeye ambapo mpaka sasa wajumbe wote wamethibitisha kujiuzulu isipokuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo Salim Abdallah Muhene 'Tryagain',