RAIS SAMIA AKIFUATILIA BUNGE LA BAJETI KUU YA SERIKALI MWAKA 2024/25

 


Na Mwandishi wetu 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2024/25 kwa njia ya runinga nyumbani kwake Chamwino Mkoani Dodoma. Hotuba hiyo ilikuwa ikisomwa bungeni na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba tarehe 13 Juni, 2024.







Powered by Blogger.