DR. NDUGULILE HAKUNA KULALA WHO
BRAZAVILLE: Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Dkt. Faustine Ndugulile akiwa kwenye nafasi yake na kuendelea kuongoza Kikao, pembeni yake ni Mkurugenzi Mkuu wa WHO Duniani Tedros Adhanom Ghebreyesus.
Dkt. Ndugulile alichaguliwa na wajumbe wa Kikao cha 74 cha WHO kanda ya Afrika kushika nafasi hiyo kuanzia jana Agosti 27, 2024 kutoka kwa Dkt. Matshidiso Moeti (kutoka Bostwana)
Dr. Faustine ameshinda, Tanzania imeshinda, Afrika imeshinda