'MEYA ' BONIYAI AKAMATWA NA POLISI


 MEYA mstaafu  Halmashauri ya Ubungo Dar Es Salaam na KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Boniface Jaco maarufu kama Boni Yai amekamatwa na Jeshi la Polisi leo Septemba 18,2024. 

Taarifa ya Jeshi hilo iliyotolewa na msemaji wake David Misime-DCP imeeleza, Jacob anashikiliwa kwa makosa ya kijinai yanayomkabili ambayo hayakubainishwa.

Soma 👇 Taarifa kamili ya Jeshi la Polisi.









Powered by Blogger.