ULILIFAHAMU HILI? KISWAHILI KILIFUNDISHWA ULAYA KABLA HATA VITA YA 2 YA DUNIA HAIJAISHA

 

Balozi Mbelwa Kairuki anabainisha👇

“Kiswahili ngazi ya taaluma nchini Uingereza kina historia ndefu kuliko hata Tanzania; lugha ya Kiswahili imeanza kufundishwa Chuo Kikuu cha SOAS-London kabla ya miaka ya 1940 kipindi hicho hatujapata uhuru. Mwezi Julai tulikuwa na warsha na Chuo Kikuu cha SOAS katika jitihada za kukuza lugha hii,” - Mhe. Mbelwa Kairuki, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza

Powered by Blogger.