BREAKING: NAIBU RAIS KENYA UFURUSHWA NA BUNGE


KENYA: Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Kenya Rigath Gachagua amepigiwa kura ya kumuondoa madarakani na Bunge la nchi hiyo baada ya kutuhumiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka.

Hatua inayofuata ni kupelekwa kwenye Bunge la Seneti ambako nako atapigiwa kura.

Kura 281 zilipigwa kuunga mkono kufukuzwa kwake huku 44 zikijaribu kumnusuru.

Gachagua ndiye Naibu Rais wa kwanza kushtakiwa tangu kupitishwa kwa Katiba ya 2010.





Powered by Blogger.