MAAFISA MIKOPO MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MTEJA

 


PWANI: Maafisa mikopo wanne wa Taasisi inayojishughulisha na utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali ya OYA wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi mkoani Pwani baada ya kutuhumiwa kwa mauaji ya Juma Mfaume mkazi wa Mbagala Mlandizi, Mkoani humo.

Soma taarifa kamili ya Jeshi la Polisi

Powered by Blogger.