MEYA ASHINDA UENYEKITI AKIWA GEREZANI


MEYA wa zamani wa Ubungo Boniface Jacob ameshinda kwa kishindo Uenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani akiwa jela (Segerea). 

Matokeo yaliyotangazwa usiku huu ni kama ifuatavyo:

- Jumla kura zilizopigwa 77

- Kura zilizoharibika 0

- Boniface Jacob kura 60 sawa na 77%

- Gervas Lyenda kura 17 sawa na 23%

Powered by Blogger.