KIPA WA ZAMANI WA TIMU YA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA LEO
![]() |
| Kipa Manyika enzi za uhai wake |
Kipa wa zamani wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) na Young Africans , Peter Manyika amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospital ya St. Monica ya Jijini Dar es Salaam.
Manyika aliyewahi kutamba na vilabu mbalimbali amepatwa na umauti huo baada ya kuugua muda mrefu na mwili wake umepelekwa Hospital ya Rufaa ya Mwananyamala.
Endelea kufuatilia Mwangwi news kwa update zaidi
#Mwangwi sports update

