SIMBA NDIYO KAMA MLIVYOSIKIA
Wekundu wa msimbazi Simba kwa mara nyingine wamepoteza mchezo kwa kuambulia kichapo cha goli 1 mnamo dakika ya 21 dhidi ya Timu ya Epesrance de Tunisia .
Goli la Esperance limefungwa na Jack Diarra.
Ambapo kwa kupoteza mchezo huo Simba wanakua wamepoteza michezo mitatu mfululizo kwa makundi kwenye mashindano ya klabu bingwa Africa
FT ESPERANCE DE TUNIS 1 -SIMBA 0

