MANE AWATANGULIZA SENEGAL FAINALI

 


Na Mwandishi wetu,DAR ES SALAAM 

Bao pekee la Sadio Mane aliloliweka wavuni mnamo dakika ya 78 limewapa ushindi wa 1-0 dhidi ya Egypt, na kuifanya Senegal kutinga Fainali ya AFCON. 

Senegal atakutana kwenye Fainali na timu moja wapo kati ya wenyeji Morocco au Nigeria ambazo zinacheza usiku wa leo. 

Senegal leo wametinga  Fainali  yao ya tatu katika AFCON 4 zilizopita. 

FT’ Senegal 1-0 Egypt 

⚽️ Mane 78'

Powered by Blogger.