MOROCCO YAIFUATA RASMI SENEGAL FAINALI AFCON 2025

 

Na Mwandishi wetu,DAR ES SALAAM 

Mchezo wa pili wa Nusu Fainali ya AFCON umemalizika huku Morocco akifanikiwa Kumtoa Nigeria na Kutinga katika hatua ya Fainali ambapo atakutana na Senegal. 

Mchezo umemalizika kwa sare ya 0-0 ndani ya dakika 90’ na zile 30’ za nyongeza, Morocco amemtoa Nigeria kwa mikwaju ya Penati. 

⏰120’

𝐍𝐈𝐆𝐄𝐑𝐈𝐀🇳🇬  0-0  𝐌𝐎𝐑𝐎𝐂𝐂𝐎🇲🇦

🏆#𝐀𝐟𝐜𝐨penati

penati

Morocco🇲🇦 4

Nigeria🇳🇬 2

Powered by Blogger.