SENEGAL MABINGWA AFCON 2025


Na Mwandishi wetu,DAR ES SALAAM 

Timu ya Taifa ya Senegal imefanikiwa kutwaa kombe la mataifa ya Afrika AFCON mbele ya Morroco waliokuwa nyumbani hii ni mara yao ya tatu kutwaa kombe hili.

Senegal wametwaa kombe hilo baada yakuwafunga Morroco mbele ya maelfu ya mashabiki wao , goli la Senegal lilifungwa kwenye muda wa nyongeza baada  yakumaliza dakika 90 bila yakufungana.


FT: Senegal 1-0 Morocco.

Powered by Blogger.