WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA SENEGAL NA BENCHI LA UFUNDI WAOGA MANOTI KUTWAA AFCON 2025
Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye amesema kila Mchezaji wa timu ya taifa atapewa zawadi ya pesa taslimu ya Euro 115,000(takriban Shilingi Milioni 339) na Kiwanja mita za mraba 1,500 kwa ajili ya kujenga katika mji Mkuu Dakar.
Pia kila mjumbe wa shirikisho la soka atapewa Euro 75,000 (Takribani Sh. Milioni 217) na Kiwanja wa kujenga Nyumba.
Kwa upande mwingine Euro 465,000 (Sh. 1.36 Bilioni )itagawiwa kwa watu wote kutoka Wizara ya Michezo walioambatana na timu ya Taifa.
Senegal ilitwaa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON baada ya kuwafunga wenyeji morocco kwa jumla ya goli moja kwa bila

