Kikosi cha Yanga kimeanza safari ya kuelekea nchini Misri kwenda kuvaana na kikosi cha Al Ahly kwenye Mchezo wa hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Barani Afrika unaotarajiwa kufanyika mnamo siku ya ijumaa january 23 .