Yanga Imepokea Kipigo cha Mabao 2-0 Ugenini Dhidi ya Al Ahly, kwenye mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Africa Mabao mawili yaliyofungwa na Mahmoid Trezguet.