SIMBA YATINGA 16 BORA YA KOMBE LA SHIRIKISHO

 Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wametinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB CRDB Federation Cup (FA Cup) kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabeberu wa Jiji, B19 FC katika dimba la Meja Janerali Isamuhyo kwenye michuano hiyo.


Simba Sc itachuana na Dodoma Jiji FC kwenye hatua inayofuata ya michuano hiyo.


FT: Simba Sc 2-0 B19 FC

⚽ 22' Loemba

⚽ 77' Chama




Powered by Blogger.