YANGA HATUENDI TABORA MPAKA BODI YA LIGI ITUTAARIFU
Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Yanga Rogers Gumbo amezungumza na mwandishi wa habari wa kituo kimojawapo cha TV nchini ,amesema kuwa wao hawajasafiri mpaka sasa,kuelekea mkoani Tabora kwaajili yakucheza na Tanzania Prison kwani hawajapata taarifa rasmi kutoka bodi ya ligi yakuhamishwa kwa mchezo huo.
Baada ya uwanja wa Sokoine Mbeya kufungiwa na timu hiyo kuutangaza uwanja wa Ali Hassani mwinyi kama uwanja wao wa nyumbani.
Gumbo ameweka wazi Yanga wanasubiri Bodi ya ligi kuwathibitishia juu ya Tangazo la Tanzania Prisons kuhamisha uwanja

