YANGA YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO LA CRDB KWA USHINDI MWEMBAMBA

 


Timu ya wananchi Young African leo,imefanikiwa kutinga robo fainali ya kombe la shirikisho  kwa ushindi mwembamba wa goli moja kwa bila dhidi ya timu ya TMA.

Goli la Yanga limepatikana mnamo dakika ya 68 kupitia kwa mkongomani Max Mpia Nzengeli.

timu ya TMA imeonyesha upinzani wa hali ya juu nakuwaduwaza Yanga pasina matarajio.

FT YANGA 1 TMA 0

Powered by Blogger.