Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar, leo tarehe 11 Aprili 2026.