HAWA YANGA LABDA WAKUWAFUNGA LABDA MAHAKAMA

 



Shughuli imemalizika katika uwanja  wa KMC Complex Wananchi wakisogea mpaka alama 8 mbele ya mtani wao, Simba SC.


Yanga SC wanasalia kileleni wakifikisha alama 54 baada ya mechi 22 wakiwa wamecheza mechi moja zaidi ya Mnyama.


Allan Okello ndiye nyota wa mchezo huo akifunga mabao mawili na kutoa asisti moja ikiwa ni mchango wa magoli 12 tangu atue jangwani mwezi Januari.


FT: Yanga SC 3-0 Coastal Union 

⚽ 18' Okello

⚽ 62' Okello

⚽ Maxi (🅰️ Okello)


Powered by Blogger.