Timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 Serengeti Boys wametinga fainali ya michuano ya AFCON kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17.kwa kuifunga timu ya Taifa ya vijana ya Misri kwa mikwaju ya penati 4 kwa 3.