YANGA WAACHWE KAMA WALIVYO WAKUSANYA FAINI WALIOPIGWA NA BODI YA LIGI KWA MASAA

 

Tunaweza kusema hawa Yanga wakiamua jambo lao hakuna wakuwazuia .

baada yakushuudia Timu ya Dar es salaam Young African wakipigwa faini ya tshs milioni 30 na bodi ya ligi kwa kosa lakuvunja kanuni kwenye mechi ya derby yao na Simba.

Mchana wa tarehe 11 May walianzisha Harambee ya kwenye mitandao ya kijamii kuchangisha kulipa faini hiyo ambapo mpaka kufikia saa nne usiku tayari pesa  zaidi ya milioni thelathini ziliKua zimechangwa .


Kwa  hili mwangwi news inawainulia mikono Yanga.

Powered by Blogger.