YANGA YAMFUTA KAZI KOCHA PEDRO






 Uongozi wa Klabu ya Young Africans Sports Club umetangaxa  kumfuta kazi Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Pedro Gonçalves.


Taarifa ya Yangs iliyotolewa jioni hii imesema Uongozi wa Klabu unamshukuru Kocha Pedro Gonçalves kwa mchango wake alioutoa ndani ya klabu yetu na unamtakia kila la kheri katika majukumu yake yajayo.


Katika kipindi hiki kikosi cha Yanga  kitakuwa chini ya uongozi wa Kocha Abdihamid Moalin pamoja na Kocha Patrick Mabedi hadi mwisho wa msimu.



Powered by Blogger.