🏆 TANAPA YANG’AA KIMATAIFA🇹🇿
Hifadhi za Taifa za Tanzania (TANAPA) imepokea Tuzo ya Ubora ya Kimataifa 2026 mjini Brussels, Ubeligiji, ikitambuliwa na European Society for Quality Research (ESQR).
Tuzo hii inatambua jitihada za TANAPA katika kutoa huduma za ubora na kuhifadhi mazingira kwa njia endelevu, sambamba na viwango vya ISO 9001:2015.
👏 Ni fahari kubwa kwa Tanzania kuangazia kwenye ramani ya kimataifa!
#TANAPA #QualityAward2026 #Tanzania #Pride

