YANGA YAMTAMBULISHA KIUNGO KUTOKA ANGOLA

 


Klabu ya Yanga Sc rasmi imetambulisha Mshambuliaji wa kati Laurindo Dilson Maria Aurélio Depu (25) raia wa Angola akitokea klabu ya Radomiak Radom ya nchini Poland. 

Depu amesaini mkataba wa miama miwili kuwatumikia wananchi

Powered by Blogger.