NIGERIA YAIZAMISHA MISRI NAKUFANIKIWA KUWA MSHINDI WA TATU AFCON

 

Timu ya Taifa ya Nigeria 'Supper Eagles' imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye michuano ya kumbe la Mataifa Afrika, AFCON 2025 kufuatia ushindi wa Penalti 4-2 dhidi ya Mafarao, Misri kwenye mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu.

Nigeria imetwaa Medali ya shaba (bronze medal) kama mshindi wa tatu wa michuano hiyo baada ya sare tasa dhidi ya Mafarao hao kabla mchezo kuamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penalti.


FT: Egypt 🇪🇬 0-0 🇳🇬 Nigeria (P 2-4)

Powered by Blogger.