SIMBA BINGWA MUUNGANO CUP 2026

 

Shughuli imemalizika katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar, Mnyama amekata ukame wa kutokushinda mbele ya Wananchi, Young Africans baada ya kuibuka na ushindi wa 1-0 na kutwaa ubingwa wa Kombe la Muungano kwa mara ya saba.


FT: Yanga SC 0-1 Simba SC

⚽ 120 ' Mwalimu 



Powered by Blogger.