FEISAL SALUM ATUPIA AZAM IKING'ARA NYUMBANI YAZIDI KUWAVURUGA SIMBA




 Faisal Salum 'Feitoto' amefunga bao lake ya 10 la msimu kwenye Ligi kuu ya soka ya NBC Tanzania bara akiwa kinara wa magoli baada ya kuifungia Azam FC bao pekee kwenye ushindi wa 1-0 dhidi ya Wauaji wa Kusini, Namungo FC katika dimba la Azam Complex, Chamazi.


Kwenye michezo mingine ya ligi kuu leo, Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya TP Lindanda, Pamba Jiji FC katika dimba la Airtel Mtipa, Singida huku Fountain Gate FC ikiilaza Coastal Union 3-2 katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.


FT: Azam FC 1-0 Namungo FC

⚽ 42' Feitoto


FT: Singida Black Stars 3-1 Pamba Jiji FC

⚽ 21' Ndumumwe 

⚽ 53' Ndumumwe

⚽ 70' Malanga

⚽ 60' Lutonja


FT: Fountain Gate FC 3-2 Coastal Union

⚽ 15' Chukwunonye

⚽ 33' Henry David

⚽ 70' Ismail Kader

⚽ 02' Shiza Kichuya

⚽ 90+5' Meshack Mwamita


MSIMAMO NBCPL 🔝 4️⃣


1. Yanga SC Pts 48 (Mechi 20)

2. Azam FC Pts 43 (Mechi 21)

3. Simba SC Pts 43 (Mechi 20)

4. Singida BS Pts 32 (Mechi 21)



Powered by Blogger.