TANTRADE:MAONESHO YA SABASABA 2026 YANAENDA KUWA MAKUBWA ZAIDI
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara nchini Tantrade imesema Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu Sabasaba 2026 yatakuwa makubwa na tofauti na miaka iliyopita.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Meneja Ukuzaji Biashara wa TANTRAD E, Deo Shayo, amesema mwaka huu mamlaka inaadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake. Kwa sababu hiyo, maonesho ya mwaka huu yamepangwa kuwa Golden Jubilee_ yenye shughuli nyingi tofauti na zile za miaka iliyopita.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Meneja Ukuzaji Biashara wa TANTRAD E, Deo Shayo, amesema mwaka huu mamlaka inaadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.
Kwa sababu hiyo, maonesho ya mwaka huu yamepangwa kuwa_Golden Jubilee_ yenye shughuli nyingi tofauti na zile za miaka iliyopita.
Shayo ameongeza kuwa TANTRADE imeandaa usiku wa dhahabu ambapo wafanyabiashara waliofanya vizuri watapewa tuzo, Shughuli hiyo inatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wakuu wa serikali.

