IRAN YAGAWANA POINT NA ZEW ZEALAND
🇮🇷 Iran 2-2 New Zealand 🇳🇿
Sare ya kusisimua katika Kundi G!
Iran na New Zealand wanagawana pointi baada ya mchezo wa kupokezana uongozi kwenye Kombe la Dunia.
⚽ Eli Just aliitanguliza New Zealand mbele
⚽ Ramin Rezaeian akaisawazishia Iran
⚽ Eli Just akafunga tena
⚽ Mohammad Mohebi akaokoa Iran kwa bao la kusawazisha
Kila timu inapata pointi moja katika mchezo wao wa kwanza.

