RAIS DKT.MWINYI AMTEUA KATIBU MKUU KIONGOZI SMZ

 



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Ndugu Mansura Mosi Kassim kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Kabla ya Uteuzi Ndugu Mansura alikuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria ,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar 

 Uteuzi huo umeanza rasmi leo, tarehe 22 Juni 2026. 


Ndugu Katibu Mkuu Kiongozi ataapishwa Siku ya Jumatano tarehe 24 , Juni 2026 saa 4 asubuhi, Ikulu Zanzibar .



Powered by Blogger.